BASILIO KIMANI: BAZENGA WA NGUVU

Ushawahi sahau burungo zako kwa mathree?Ushawahi dondoka kwa nganya halafu baada ya stepu kobole unashtuka huna walenje?Hiyo ikinifanyikia nitakubali tu kuchengwa…Nitajua nimelambwa…nimeperembwa…Lakini kuna yutman fulani kwa mathree za Thika alisahau bag iko na ngiri twenty na lapi na bado aka manage kuziget.Dere fulani wa nguvu anaitwa Basilio alimuekea burungo zake akamgee masake alipokam kuziulizia.Huyu bazu hakuwa mkenya wa kawaida.Alikuwa mbuyu wa nguvu.Bazenga anayetaka jamii yetu iwe na uaminifu.Hakuongea na msee yeyote…Hakuhubiri storo za uongo kama mapolitrickcianYeye aliona situation halafu aka do vile inatakikana.Niko sure alikula matusi kutoka kwa madere wenzakeLazima aliambiwa akanyagie hiyo risto kwa sababu hiyo ndio mtindoLakini hiyo haikuwa BasilioYeye alithink ki-big-pictureSociety ile tuko leo haitaji ma noisemaker wanatuambia vile uperembaji na doo za washwash ni nomaInahitaji maBasilio kaa soo hivi…Mabazenga watakao stand kwa ground na kukataa kuwafanyia wengine uduu…Mayutman watafanya the correct thing sio ati because inakanja but coz ndio the correct thing to do…Wasee watakao nena kupitia ma action zao coz hii Kenya yetu imejaa mabig preacherman wanaotenda opposite ya kile wanapreach.Tunahitaji maBasilio zaidi watakao do poa kwa wengineTukianza kufanyiana poa na kusaidiana, hatutahitaji ene kutoka kwa mapolitrickcianTutajisort kivyetu na tuchague yule msee tunamtaka.Namvulia kofia bazenga Basilio KimaniPhoto credit: Adobe Stock

Leave a comment