BASILIO KIMANI: BAZENGA WA NGUVU
Cleannovate
OCTOBER 30, 2021
Ushawahi sahau burungo zako kwa mathree? Ushawahi dondoka kwa nganya halafu baada ya stepu kobole unashtuka huna walenje? Hiyo ikinifanyikia nitakubali tu kuchengwa… Nitajua nimelambwa… nimeperembwa… Lakini kuna yutman fulani kwa mathree za Thika alisahau bag iko na ngiri twenty na lapi na bado aka manage kuziget. Dere fulani wa nguvu anaitwa Basilio alimuekea burungo zake akamgee masake alipokam kuziulizia.
Let's personalize your content